Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ameongeza muda wa maombi ya nafasi za kazi na hivyo anawatangazia Wahitimu wote wenye sifa wasioomba katika tangazo la awali waombe sasa.
Kwa maelezo zaidi bofya hapa:
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Haki Miliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa - Haki zote zimehifadhiwa