Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imepata Mkurugenzi Mtendaji Mpya Ndug. Paul Mamba Sweya, taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 20 Agosti 2018 na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashaurii ya Wilaya ya Mpwapwa Ndug. Maria P. Leshalu. Taarifa hiyo imetolewa mara tu baada ya Mkurugenzi hiyo kuwasili Wilayani Mpwapwa na kukabidhiwa ofisi ya Mkurugenzi.
Mwisho Kaimu Mkurugenzi Ndug. Leshalu amewaomba watumishi wote pamoja na wananchi kwa ujumla kumpa ushirikiano Mkurugenzi mpya Ndug. Sweya.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.