Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anapenda kuwatangazia nafasi za kazi watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi za watendaji wa vijiji kwa masharti ya kudumu.
Kwa maelezo zaidi pakua tangazo hili hapa chini:
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.