• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Ardhi na Maliasili


ARDHI NA MALIASILI

Utekelezwaji wa majukumu ya Idara ya Ardhi na Maliasili kwa sehemu kubwa unaongozwa na Sera, Sheria , Kanuni, miongozo na maagizo mbalimbali ya kiserikali.  Sera hizo ni pamoja na Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 pamoja na sheria zake, Sheria  Namba 4 na 5 ya mwaka 1999, Sheria ya Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi  ya mwaka 200, Sheria ya Mipango miji ya Mwaka 2007. Sekta ya Misitu inaongozwa na Sera ya Taifa yaMisitu ya Mwaka 1998 na sheria yake Na. 14 ya Mwaka 2002 Sekta ya Wanyamapori inaongozwa na Sera ya Wanyamapori ya Mwaka 2007 na sheria yake Namba 5 ya Mwaka 2009 Aidha Idara inatumia Sera na Sheria zingine Mtambuka zinazotumika nchini zinazohusu masuala ya Ardhi na Maliasili.

Hivyo idara iantekeleza majukumu yake katika maeneo makuu mawili ambayo ni usimamizi wa maenedeleo ya ardhi na Maliasili. Utekelezaji wa shughuli hizo unafanyika kupitia vitengo vifuatavyo;

Ardhi Utawala

Kitengo hiki hufanya utekelezaji wa zoezi la kuandaa miliki za viwanja na mashamba yaliyopimwa,kuandaa vyeti vya ardhi vya vijiji, kutatua  migogoro mbalimbali inayotokea miongoni mwa makundi yanayotumia Ardhi, kukusanya kodi ya Ardhi, kutunza kumbukumbu za miliki na  kutekeleza miamala mbalimbali ya ardhi kama vile kutengua miliki na kuhamisha miliki.

Upimaji na Ramani

 Kitengo hiki hushughulika na upimaji wa viwanja na mashamba, upimaji wa vijiji, upimaji wa maeneo mbalimbali kutokana na maelekezo ya kiserikali na uwekaji wa alama za rejea za upimaji.

 Mipango Miji.

 Kitengo hiki hushughulikia uandaaji wa mipango ya miji na vijiji, mipango hii hujumuisha;

  • Mipango ya Jumla(General Plans) ambayo ni Mpango Kabambe (Master Plan) na Mipango ya Kati(Interim Land Use Plans).
  • Mipango ya kina (Detailed Plans)
  • Mipango ya uhuishaji wa maeneo chakavu ya miji (Urban Renewal Schemes).
  • Mipango ya upangaji makazi holela (Regulalization Schemes)
  • Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi (Vijiji, Wilaya, Kanda, Taifa).

  Misitu.

Kitengo hiki kinashughulika na uhifadhi wa misitu, uendelezaji wa misitu na matumizi endelevu ya misitu na ukusanyaji wa maduhuli yatokanayo na mazao ya misitu. Wilaya  ya Mpwapwa ina hifadhi 3 za Misitu ya Serikali, Hifadhi hizo ni pamoja naMafene, Wotta na Mang’aliza.

Pia kwa sasa Wilaya inapendekeza msitu wa Kiboriani kuwa Hifadhi ya  Msitu wa serikali.  Aidha kuna misitu ambayo ipo chini ya vijiji vilivyopimwa nayo ni; Mwenzele, Mwanawota, Rufu, Rufusi,Mima, Iyenge, Bumila, Tambi, Mbori, Mbuga,Galigali,Matonya, Lwihomelo, Kizi,Kingiti, Kati ya misitu hiyo misitu ya PFM ni saba na ambayo imetokana na Mpango wa matumiazi bora ya Ardhi (Land use plans)   ni misitu sita, Misitu  miwili ni ya kawaida

 Wanyama Pori

Kitengo hiki hushughulika na hifadhi ya wanyapori, uemdelezaji, na ukusanyaji wa maduhuli ya serikali yatokanayo na wanyamapori.  Wilaya ya Mpwapwa ina pori tengefu moja ambalo ni Rudi (Rudi Game Controlled Reserve) ukubwa wa eneo ni hilo ni Hekta 136,450. Aidha pori hili lina hifadhi ya  wanyama mbalimbali kama fisi,swala,na digidigi,   wanyama wengine kama tembo huja na kuondoka.

  Nyuki

Kitengo  hiki hushughulika na zoezi la maendeleo ya ufugaji wa nyuki na uvunaji wa asli n anta. Katika Wilaya ya Mpwapwa shughuli za hizo zinafanyika  katika    

 Vikundi 41 na Mwananchi mmoja mmoja, Wilaya ina jukumu la kusimamia ufugaji nyuki katika vikundi     na wananchi kwa ujumla.          

 Uthamini

Kitengo hiki hushughulika na  uthamini wa malengo mbalimbali, uthamini huo hulenga  Mizania, kuhamisha miliki, fidia,  makadirio ya kodi ya ardhi na majengo,  uhamisho wa miliki na kujua thamani ya soko.


Hifadhi ya milima ya Rubeho 


 

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.