• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Ugonjwa wa nguruwe wawatia hasara wafugaji Wilayani Mpwapwa

Thursday 23rd, March 2023
@Mpwapwa

BAADHI yawafugaji katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameingia hasara kwa kupoteza mifugo yao aina ya nguruwe kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa nguruwe ujulikanao kama African swine fever. Wakiongea na mwanahabari wetu kwa nyakati tofauti mmoja wa wafugaji Bi Tabitha Simbeye alisema tangu ugonjwa huo uzuke wafugaji wengi wamepoteza nguruwe wengi na hivyo kuwasababishia hasara kubwa. Tabitha alisema katika zizi lake kulikuwa na nguruwe sita wote walikubwa na ugonjwa baadhi alifanikiwa kuwauza kwa bei ya hasara na wengine walikufa na kuwazika. 

Alisema nguruwe wengi wameathiriwa na ugonjwa huo, ambapo alisema Nguruwe wakipatwa na ugonjwa huo hutetemeka, kukosa nguvu na kushidwa kutembea. Aidha mmoja wa watafiti wa mifugo kutoka katika Tasisi ya utafiti wa mifugo TARILI Mpwapwa ambae jina lake hakutaka liiandikwe alisema kuwa ugonjwa huu hutokea kwa msimu, na unasababishwa na virusi,  hivyo ni ngumu kutibika wala kukinga. Mtafiti huyo alisema ili kuweza kudhibiti ugonjwa  huo ni kupiga karantine za shughuli zote za mifugo ikiwemo minada na shughuli zingine zote ili kuzuia ugonjwa huo kuenea kwa wingi.

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yaWilaya ya  Mpwapwa bwana Mohamed Maje alikili  kuzuka kwa ugonjwa huo wilayani kwake. Alieleza kuwa ugonjwa huo uliotekea mkoani Morogoro na alisema tayari alishatoa maelekezo kwa maofisa mifugo ngazi ya kata na vijiji ikiwemo kusitisha shughuli zote zinazohusiana na uchinjaji, uuzaji na na usafirishaji wa mazao yote yatokanayo na Nguruwe. Aidha Maje alisema ugonjwa huo unaenezwa na kirus na husababazwa kwa hewa na hivyo kuna hatari ya wafugaji wakapoteza nguruwe wote ndani
ya wilaya maaeneo ugonjwa uliko iingia. Kwa asili ya ugonjwa huu hauna dawa wala kinga na hivyo ukiingia eneo Fulani hakuna njisi, pia kuna wasiwasi wafugaji wanaweza kupoteza nguruwe wote katika maeneo ugonjwa ulipo ingia. Hata hivyo Maje alisema kutokana na ugonjwa huo umeweza kuadhiri uchumi wa mwananchi na halmshauri  kwa kodi zilizo kuwa ninalipwa na wafanyabiashara wa mabucha ya nguruwe na ushuru wa majichio.

 Pia aliwataka Wafugaji kuweza kujiunga kwenye vikundi ili kuweza kuwa na sauti ya pamoja na katika kuzikabili changamoto za mifugo ikiwemo kinga kwa wanyama wao na matibabu pindi ugonjwa utokeapo. Pia maje alitumia fursa hiyo kuwataka wafugaji kuzika mizoga ya nguruwe wanao kufa au kuteketeza kwa moto ili kuogopa ugonjwa huo kuendelea kuenea katika maeneo mengine ndani mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.