Jinsi ya kupata kibali cha ujenzi.
MASHARTI YA UTUMIAJI WA LESENI
1.Mwenye leseni hataweka masharti yeyote kwa mnunuzi
2. Mwenye leseni atatoa risiti kwa mauzo yote.
3.Mwenye leseni atafuata sheria ya leseni ya biashara No. 25 ya 1972
MAKOSA
1.Kuendesha biashara bila leseni
2.Kuendesha biashara eneo tofauti na linaloonyeshwa kwenye Leseni.
3.Kutumia leseni moja kufanya biashara zaidi ya moja au maeneo ma
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.