• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Maji

Maji

Kazi  Za idara hii

a.Kutekelea sheria na sera na kushauri masuala mbali mbali yahusuyo Maji.
b.Kufanya Tafiti na kufanya ukagui wa maji safi na salama.
c.Kufanya ufuatiliaji wa miradi ya maji katika kuboresha huduma ya utoaji maji katika wilaya.
d.Kujenga uwezo katika kupanga, kutekelea na kusimamia miradi ya maji kwa kutumia teknolojia rahisi inayokubalika katika ngazi ya jamii.
e.Kuandaa mipango na Bajeti katika miradi ya Maji.
f.Kuwajengea uwezo wana jamii ili wawezekuendsha miradi ya maji
g.Kukarabati na kujenga miundombinu ya Maji.
h.Kushauri mamlaka za juu ili ziweze Kutoa fedha kwaajili ya miradi ya maji kufuatia juhudi zinazoonyeshwa na wananchi.
i.Kuandaa makadirio ya gharama za ujenzi wa miradi ya maji.
j.Kuandaa tarifa za idara za utekelezaji wa miradi ya maji  katika kipindi cha robo, na mwaka.

Hali ya Upatikanaji wa Maji Wilayani.

Wilaya ya Mpwapwa ina jumla ya vyanzo vya maji vipatavyo 247, ikiwemo maji ya mtiririko 32, visima virefu vipo 43, visima vifupi 144, matenki ya kuvunia maji ya mvua 43, uboreshaji wa chemichemi 28. Hata hivyo ni vyazo 232 ndivyo vinavyofanyakazi .Idadi ya watu wanaopata maji safi na salama ni 184,010 sawa na asilimia 56.8 ya makadirio ya watu wapatao 323,947.

Uboreshaji wa Huduma za Maji Vijijini

Watu 142,375 kati ya watu 282,312 waishio vijijini sawa na 50.4% wanapata maji safi. Utekelezaji wa miradi ya maji chini ya Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP) kwa miradi ya vijiji vine ya Chinyanghuku, Kimagai, Chunyu na Kisima umekamilika,

 Mkakati wa uvunaji maji ya mvua unaendelea kutekelezwa, unoahusisha kutoa elimu kwa wananchi kuhusu uvunaji wa maji ya mvua, ushirikishaji wa wadau mbalimbali katika kuboresha na kuwezesha kutekeleza mpango kwa pamoja na kuwafikia wananchi wengi. Aidha mkakati unahusisha ujenzi wa miundo mbinu ya kuvunia maji ya mvua (matanki na mabwawa) katika vijiji 113 na taasisi, utekelezaji wake ulianza mwaka 2011/2012

   Aidha Halmashauri inaendelea kuhakikisha kuwa;

  •  Elimu juu ya uvunaji wa maji ya mvua inaendelea kutolewa kwa kuwashirikisha wadau wote
  • Wilaya inakamilisha mchakato wa kutunga sheria ndogo juu ya uvunaji wa maji ya mvua
  • Kutoa mafunzo kwa mafundi wa Jamii ya ujenzi wa miundombinu ya maji
  • Kufunga miundombinu ya mfano ya uvunaji wa maji katika baadhi ya vijiji kama sehemu ya kujifunzia
  • Kukarabati miundombinu ya kuvunia maji
  • Kujenga malambo (charcal dam) na mabwawa vijijini ili kuongeza upatikanaji wa maji ya mvua.


Maadhimisho ya kilele ya Wiki ya Maji Katika Wilaya yaliyofanyika tarehe 23.03. 2017 Katika Kata ya Chitemo.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.