• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa

Mamlaka ya Mji Mdogo wa  Mpwapwa

Mamlaka ya Mji Mdogo Mpwapwa ilitangazwa rasmi 2004 na kupewa cheti “Certificate of Establishment” mwaka 2006 na kisheria ikawa “Board of Corporate”  ikimaanisha kuwa Mamlaka inaweza kumiliki mali inayohamishika na isiyohamishika, inaweza kushtaki au kushitakiwa.

Mamlaka inaundwa na kata moja(1) ya Mpwapwa Mjini ambayo inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 21,403 kati yao wanawake ni 11,129 na wanaume 10,204 kutokana na Sensa ya mwaka 2012 Kata ya Mpwapwa Mjini ina jumla ya  Vitongoji kumi na nane (18) vya  Igovu, Ng’ambo, National Housing, Kota, Majengo,   Ilolo,  Mbuyuni,  Kwamdyanga, Mapinduzi,  Kikombo,  Mwanakianga kati,  Mwanakianga kusini,  Ubenani,  Mjini  Mpwapwa, Mikoroshini, Makweja,  Ibulila.

Muundo wa Mamlaka ya Mji.

Muundo wa Mamlaka ya mji mdogo kama ifuatavyo:-

  • Mwenyekiti  wa mamlaka aliyechaguliwa miongoni mwa  wenyeviti  wa vitongoji
  • Wenyeviti wa vitongoji vilivyomo katika eneo la Mamlaka .
  • Wajumbe walioteuliwa na Halmashauri wasiozidi watatu .
  • Mbunge wa  jimbo la Mpwapwa .
  • Wajumbe viti maalum 5
  • Afisa Mtendaji wa Mji Mdogo

VIKAO VYA MAMLAKA:

Mamlaka inakuwa na vikao vya aina nne(4);

  • Vikao vya Vitongoji.
  • Vikao vya Maendeleo ya Kata (WDC)
  • Vikao vya Kamati za Mamlaka.
  • Vikao vya Baraza la Mamlaka.

KAMATI ZA KUDUMU ZA MAMLAKA YA MJI MDOGO

  • Kamati ya Fedha ,Utawala na Mipango
  • Kamati ya Huduma za Jamii
  • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira

Maslahi ya Wajumbe wa Baraza la Mamlaka:

Maslahi ya Wajumbe wa Baraza la Mamlaka hayana tofauti na wale wa Halmashauri ila huangaliwa na uwezo wa Mamlaka kuhudumia vikao hivyo kulingana na uwezo wa mapato yake.

  • Shughuli za Mamlaka:
  • Kwa kipindi kirefu mamlaka toka ianzishwe imekuwa ikilegalega kutokana na kutokuwa na ofisi, vitendea kazi, watumishi na vyanzo vya mapato na kutofanya vikao vyake vya kisheria.
  • Kwa sasa mamlaka imeanza kuimarika na kufanya yafuatayo;
  • Mamlaka ina mtendaji Mkuu na pia inawatumishi wa Idara mbalimbali 8 ambao wamepewa barua za kuhamia Mamlaka ya mji Mdogo.
  • Mamlaka imeanza kufanya vikao vyake vya kisheria
  • Kuna mashine za kielektronic tano kwa ajili ya kukusanyia Mapato.
  • Kusimamia usafi wa mazingira.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.