Kikao kazi cha huduma za msingi za Wilaya kimefanyika Agosti 2,2024 katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa,kikiwa na lengo la kuyatambulisha Magonjwa makuu mawili
kwa kamati za huduma za Afya za msingi juu ya Ugonjwa wa Homa ya Nyani (MPOX)na Trakoma
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.