Kuelekea kilele cha siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,viongozi wa Serikali, viongozi wa madhebu ya dini mbali mbali na wananchi wameshirika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa.Aprili 22,2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango ni mgeni rasmi ameshiriki pamoja katika maombi ya kuliombea Taifa letu
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.