Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Taanzania,Wafanyakazi wa Umma pamoja na wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa wameungana pamoja katika Mkesha wa kusherehekea Skukuu ya Muungano kw Kufuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja kupitia Televisheni ya TBC Taifa.
Mgeni Rasmi katika mkesho huo alikikuwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mh.Mayeka Simon Mayeka,amewashukuru Wananchi kwa kuhudhuria kwao nakuwataka kuendelea kuenzi na kuutukuza Muungano wetu wa Tanzania, mkesha umefanyika Apripi 25 katika Jumba la Maendeleo Mpwapwa Mjini kuanzia saa 1:00 usiku hadi 6:00 usiku
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.