• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Mkuu wa Mkoa Asifu Usimamizi wa Miradi Mpwapwa

Posted on: June 10th, 2020

(Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Binilith S. Mahenge leo ameusifia uongozi wa Wilaya ya Mpwapwa kunzia Mkuu wa Wila ya Mpwapwa, Mwenyekiti wa Halmashauri, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa pamoja na Mkuu wa Idara katika kusimami matumizi ya fedha za miradi na kuwa na miradi iliyokamilika. Akitolea mfano wa katika usimamizi wa ujenzi wa Vituo vya Afya vya Kibakwe, Pwaga na Mima. Vilevile katika ujenzi unaendelea wa vituo vya Afya vya Mtera na Chipogo wenye gharama ya zaidi ya Tsh 600,000,000/= kwa pamoja ambapo vituo vya afya vinaendelea vizuri.
Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo katika kikoa cha Baraza la Madiwani la Mpwapwa cha kujadili hoja za Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.

Wajumbe wakifuatilia majibu ya Hoja za Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2020.

Pia amepongeza kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kupata hati safi katika Ukaguzi wa Mwaka wa Fedha 2018/2019. "Kupata hati safi inaonesha kuwa hakuna dosari kubwa
 zilizofanyika katika usimizi wa fedha na utekelezaji wa majuku katika kuwahudumia wananchi". Akiwasilisha kwa ufupi Mkurugenzi wa Halmasahuri ya Wilaya ya Mpwapwa kuwa "Hoja saba zilikuwa hazina majibu na viambatanisho, hadi leo haoja hizo zimepetiwa majibu na zimeshawasilishwa kwa mkazi kwa ajili ya uhakiki
". 

Hata hivyo pamoja na hoja hizo saba zilikuwa hazijajibiwa lakini Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imepata Hati safi. Hoja hizo zilizokuwa hazina majibu ya kurithisha ni pamoja na: Usimamizi wa mapato, kutokulipwa kwa madeni ya Halmashauri, kuongezeka kwa mali za kudumu za Halmashauri, Kuthibiti Kesi za Halmashauri, Kuwepo kwa magari mabovu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mikakati ya Ukarabati wa Majengo ya shule za msingi na sekondari, Madawa yaliyoisha muda wake yanayotakiwa kuharibiwa,
Hata hivyo hoja hizo saba zimepatiwa majibu na kuwasilishwa kwa CAG kwa ajili ya uhakiki.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amepongeza sana katika Usimamizi wa Mapato na kufikia 121 kwa mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2018/2019.  Tango niingie dodoma wilaya ambayo zimetengewa fedha na kazi zimeenda vizuri ni wilaya ya mpwapwa. Aidha sehemu zingine ukiona miradi haiendi ni kwasasabu ya 10% au maslai binafsi lakini kwa mpwapwa sijaona kitu kama hicho, nawapongeza sana madiwani wa mpwapwa na uongozi mzima wa wilaya kwa usimamizi mzuri.


Pia Mkuu wa Mkoa, Hizi hoja zinazalishwa na wakuu wa idara husika, hivyo tunahiji kuwa na mikakati ya kufuta hoja hizo na kuzuia kuzalisha hoja, zibaki zile za kisera kama uhaba wa watumishi.

Naye Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Kanda ya Dodoma Ndugu. Chami ameeleza namna ambavyo alivyopata ushirikiano kwa wakuu wa idara na vitengo wakati wa ukaguzi na kuwa kuwasilisha
nyaraka kwa wakati na kutoa maelezo yaliyojitosheleza. Pia ameomba kuwa wakatika wa ukaguzi nyaraka zote zinazohitajika zifike kwa wakati ili kuepuka kuwa na hoja nyingi zinazoweza kufutika.

Mwisho mkuu wa Mkoa ameahidi kuzifuanyia kazi hoja za kisera na kisekta ili ziweze kufutwa.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.