• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Mkuu wa Wilaya Awaalika LEAD Foundation

Posted on: August 6th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amewaalika LEAD Foundation kuja wilayani Mpwapwa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kutoa elimu kwa wajumbe wa kamati hiyo juu ya kupanda miti na kutunza mazingira katika kuhamasisha program ya Kisiki Hai.

LEAD (Leadership Environment Action for Development) Foundation ni wadau wa utunzaji wa mazingira na wanafadhiliwa na mashirika mbalimbali ikiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). LEAD imeanzisha program ya utumzaji wa mazingira katika wilaya ya Mpwapwa katika kata za Rudi na Mpwapwa mjini ambapo vijijini 54 vitafikiwa na mradi huu kwa kaya 37,000 na kupanda miti ipatayo 2,960,000 ili kufikia lengo la kuwa na Dodoma ya kijani chini ya kauli mbiu ya Kijanisha Dodoma Iwe Poa. Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri (katikati) akifungua kikao cha DCC. (Picha na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)

Sambamba na hilo Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa amezindua mradi huu kuanza kufanyakazi wilayani Mpwapwa ili kuifanya Mpwapwa kuwa ya kijani kwa kuanza na kata hizo mbili zilizotajwa hapo juu. 

Mafunzo ya awali juu ya utunzaji wa mazingira yametolewa leo katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa kwa wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya na wamjumbe wote kwa ujumla wameupokea mradi na wameruhusu ufanyekazi katika Wilaya ya Mpwapwa. Pia Mkuu wa Wilaya amehaidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha azima ya Dodoma ya Kijani. Vile vile LEAD Foundation katika malengo yao wameweka mkakati wa kuhamasisha upandaji wa zao Mkakati la Kibiashara ambalo ni zao la Korosho kwa jina maarufu Dhahabu ya Kijani.

Wajumbe wa DCC wakifuatilia kwa umakini mafunzo juu ya utunzaji wa mazingira (Picha na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)

Pia katika kikao hicho cha DCC wajumbe waliwasilisha mada zinazohusu Elimu Msingi, Elimu Sekondari, Afya, Mazingira, Mipango, Mapato na Matumizi, Ardhi Kilimo cha Korosho na Viwanda, ambapo mjadala wa pamoja kwa kuwashirikisha LEAD Foundation ulifanyika na kiongozi wa foundation hiyo Askofu Mstaafu wa Kanisa la KKKT Ndug. Chiwanga amehaidi kuzifanyika kazi hasa changamoto za utunzaji wa mazingira kwa kuwapa wananchi elimu ya namna ya kutunza mazingira. Pia ameongeza kuwa program hii ni endelevu na kwa Mkoa wa Dodoma itakuwa kwa muda wa miaka 4.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri (katikati) akizindua program ya Kisiki Hai katika kikao cha DCC. (Picha na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)

Katika kikao hiki cha DCC wajumbe walipendekeza kauli mbiu ambayo itahamasisha wananchi na wadau wengine kuwekeza kwa wingi  na kukuza uchumi wa wilaya ya Mpwapwa katika viwanda , madini na kilimo. Kauli mbiu hiyo ni "INUKA, TUIJENGE MPWAPWA MPYA"

Kwa taarifa ya kina pakua nyaraka hii hapa chini:

KISIKI HAI PROGRAM PRESENTATION.pdf

MCHAKATO WA KUCHAGUA WAWEZESHAJI WANNE WA KISIKI HAI KILA KIJIJI.pdf

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.