Mkutano wa wadau wa Elimu Mkoa wa Dodoma umefanyika Machi 25 katika Ukumbi wa TAG Mipago,katika Mkutano huo Mkoa wa DOdoma umetoa tunzo mbali mbali za kushajihisha sekta ya Elimu katika Wilaya zao.
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imekuwa ya mwanzo Kimkoa kwa kufaulisha ufaulu mzuri wa kidato cha nne (CSEE)2023 KWA 94.59% na pia Shule ya Mpwapwa Sekondari kuwa wa kwanza Kimkoa.Wilaya Mpwapwa
ilijinyakulia tunzo mbalimbali kutokana na ufaulushaji wake.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.