Utambulisho wa Mradi wa uchakaji wa Madini umefanyia leo Julai 29,2024 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa,mradi huu utafanyika katika kijiji cha Mtamba wilayani Mpwapwa na Kampuni ya KONEKKT AFRICA LIMITED Kutoka South Africa na KALAHARY BETTRY METAL LIMITED Kutoka Tanzania,wenye kujishuhulisha na uchimbaji wa madini pamoja na kujenga kiwanda cha uchakachaji wa madini ya copper na kufanya utafiti wa madini mengine,kampuni zote zinmiliki leseni halali za uchimbaji madini.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.