Utoaji wa zawadi na vyeti kwa vijiji vilivyoshinda mashindano ya usafi wa Mazingira kiwilaya 2023/2024 umefanyika Agosti 4,2024 katika Ukumbi wa Halmashauri wakti wa baraza la kuwasilisha taarifa za kata likiendelea ambapo Vijiji vitatu vilijinyakulia zawadi ya cheti na fedha taslimu,vijiji hivyo ni Mzase kutoka kata ya Berege na Lufusi na Kitate kutoka kata ya Lumuma.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.