Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia bustanimbalimbali za Kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye viwanja vya maonesho nanenane bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya Nchi ili kuwaonesha wakulima tija ya mbolea za ndani na akihutubia Viongozi,Wakulima,Wafanya biashara,Wageni kutoka Nchi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku kuu ya Wakulima ambayo kitaifa yamefanyika katika viwanja vya maonesho hayo Nzuguni _Dodoma,Agosti 8,2024
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.