Sekretarieti ya Maadili ya Uongozi wa Umma ya Kanda ya Kati imetoa mafunzo katika kipengele cha Uwajibikaji wa pamoja kwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo Agostib 5,2024 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Suala la Uwajibikaji wa pamoja ni kushirikiana Madiwani na Menejimenti nzima ya Halmashauri ili kuweza kuhakikisha kwamba malengo ya Taasisi yaliyopangwa yanaeleweka kwa wote ili utekelezaji wake uwe wa rahisi,pia mafunzo haya yamesisitiza kufanya kazi kwa kuheshimiana.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.