• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Ukaguzi wa Miradi

Posted on: August 17th, 2021

Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. George Fuime imefanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Sekta ya Afya na Elimu  inayotekelezwa maeneo tofauti hapa Wilayani ikihusisha Umaliziaji wa Vyumba viwili vya madarasa vya madarasa kwa shule ya Msingi (ilolo,Nzugilo,Vikundi na Mwenzele),Umaliziaji wa vyumba vya Maabara kwa Shule za sekondari (Ihala,Kimagai na Matomondo), Ujenzi wa Zahanati katika vijiji(Mkoleko,Kiboriani, na Mlembule) pia ujenzi wa matundu ya vyoo kumi na mbili Shule ya Sekondari Matomondo.

Kamati ilibaini nguvu kazi ndogo zinazochangiwa na wananchi katika Miradi hiyo, Taratibu za Manunuzi kuchelewa na baadhi ya Taasisi kama Shule na Zahanati kuwa na maeneo yasipimwa na kutokuwa na hati miliki.Kamati ikiongozwa na Mhe Fuime imemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mpwapwa Ndug Julieth Ntuku kuwaelekeza watendaji kuzingatia taratibu za manunuzi na kuzielekeza kamati za ujenzi za vijiji utaratibu unaofaa katika manunuzi kuepuka kutumia muda mwingi katika manunuzi ya vifaa,kuzingatia ubora wa majengo na kuhakikisha maeneoya Shule na Zahanati yanapimwa na kutafutiwa hati.Kaimu Mkurugenzi ameishukuru kamati kwa kuitembelea Miradi hiyo na kuahidi kutekeleza  maagizo yote ya Kamati na  kuyafikisha Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.


Mhe.george Fuime Mwenyekiti wa Halmashauri (aliyetangulia mbele) akiongoza wajumbe wa kamati kukagua umaliziaji wa vyumba viwili vya Maabara katika shule ya Sekondari Kimagai.



Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tangazo la Kuahirishwa kwa kikao cha Kamati ya Fedha uongozi na Mipango March 31, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mgao wa Pikipiki Kwa Watendaji wa Kata

    March 01, 2023
  • Mtokeo ya kidato cha nne yatangazwa

    January 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani Darasala nne na Kidato cha Pili 2022

    January 04, 2023
  • Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa

    December 01, 2022
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: +255 688639341

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.