Kamati ya Sensa imefanya uwasilishaji wa matokeo ya sensa katika Wilaya ya Mpwapwa mnamo tarehe 23 juni 2023,matokeo hayo jumla ya watu milion 61.7 ambapo wanawake wakiwa 31.7 na wanaume 30M Tanzania nzima.
Halikadhalika kwa Mkoa wa Dododma watu 31.1M ikiwa ni ongezeko la watu Milion 1 ikilinganishwa na sensa ya mwaka 2012. Aidha katika Wilaya ya Mpwapwa matokeo yameonesha jumla ya watu 403247 wanaishi katika Wilaya ya Mpwapwa ikiwa ni asilimia 13% ya watu wote mkoa wa Dodoma.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.