Waajiri sekta binafsi Mkoa wa Dodoma wametakiwa kufuata sheria n taratibu za uajiri ikiwa ni pamoja na kulinda haki za wafanyakazi wao na kuhakikisha wanatoa mikata ya kazi kwa Wafanya kazi wao ili waweze kupata stahiki zao muhimu pindi muda wao wa ajira unapoisha.
Hayo yamesemwa Mei 1,2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemarry Senyamule kwenye hotuba yake ya Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi waliojitokeza kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia)( Mei Mosi)kimkoa kwenye uwanja wa Jamhuru jijini Dodoma.
Maadhimisho hayo yameongozwa na kauli mbiu isemayo"Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya Maisha"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.