Posted on: June 24th, 2021
Wilaya ya Mpwapwa imepata Mkuu wa Wilaya Mpya Mhe. Josephat Paul Maganga awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ameteuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania kuwa Mkuu ...
Posted on: June 16th, 2021
Watoto wa Wilaya ya Mpwapwa leo katika kuadhimisha Sherehe za Siku ya Mtoto Afrika wamelalamikia mambo mbalimbali yanayofanywa na watu wazima ambayo kwa namna moja au nyingine yanaathiri ukuaji wao ki...
Posted on: May 28th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imenunua gari aina ya Toyota Prado TXL lenye thamani ya Shilingi za kitanzania Milioni mia moja sitini na mbili (Tsh. 162,000,000) . Gari hilo limenunuliwa kwa ajili y...