Posted on: February 17th, 2020
Baraza la Watumishi la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo imefanya kikao cha kujadili mapendekezo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri. Katika kupitika ...
Posted on: February 14th, 2020
Na: Shaibu J. Masasi; Afisa TEHAMA - Mpwapwa Dc
Program ya Kuboresha Elimu Tanzania (EQUIP -T) imeizawadia Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa gari la kisasa aina ya Ford Everest SUV yenye namba za us...
Posted on: February 13th, 2020
Makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mhe. George Fuime ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mpwapwa Mjini pamoja na wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wakiwa katika ukaguzi ...