Posted on: February 8th, 2018
Baraza la Madiwani limefanyika leo katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ambapo agenda mbalimbali zilijadiliwa zinazohusu maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikiwemo maend...
Posted on: February 7th, 2018
Vikao hivyo vilianza kwa kumkumbuka aliyekuwa Mh. Diwani wa Kata ya Wangi kwa kusimama na kunyamaza kimya kwa muda wa dakika tano, mheshimiwa huyo aliyefariki kwa maradhi yaliyokuwa yanamsumbua ...
Posted on: January 23rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh. Jabir Shekimweri ameitisha kikao cha dharura kujadili usafi wa mazingira kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zinasababisha kusomba na kusambaza takataka ovyo kati...