Posted on: April 28th, 2017
Wananchi Wilayani Mpwapwa wameiomba Serikali kusaidia kukarabati miundombinu ya bara bara hususani katika kipindi hiki ambacho mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu miundombinu ya bara bara kiasi amb...
Posted on: April 27th, 2017
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika kutekeleza miradi inayotekelezwa katika maeneo yao. Ameyasema hayo hivi karibuni katika ziara ya ukaguzi w...
Posted on: March 31st, 2017
....Baraza la biashara la wilaya ya Mpwapwa limeazimia kuwa Soko la wafanyabiashara wadogo wadogo la Mji Mpya lifunguliwe mara moja ili kuwapunguzia adha wafanyabiashara wadogo wadogo ikiwa ni pamoja ...